Jumanne, Septemba 30, 2014

MDAHALO

TTPRO TEAM inapenda kuwashukuru wale wadau wote wa utalii waliojitokeza katika kushiriki mdahalo uliofanyika tar 27/Setemba/2014 katika ukumbi wa usambara lorge mkoani Morogoro .ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Afisa maliasili na utalii mkoa wa morogoro Mheshimiwa Joseph Chuwa  .Hivyo tunapenda kuungana na wadau wote tena katika mdahalo mwingine utakaofanyika tarehe 25/Oktoba/2014 katika ukumbi wa Usambara lorge,  mada ya Mdahalo wa Mwezi wa kumi ni  Je! Utalii wa ndani ni fursa ya kupunguza tatizo la ajira Tanzania? 
wote mnakaribishwa.hivyo kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia 

TANZANIA TOURISM PROMOTION AND RESEARCH ORGANIZATION (TTPRO) 
S.L.P 730 MOROGORO 
Barua pepe: tantour276@yahoo.com 
Simu ya mkononi +255 (0) 653084451
facebook.com/Tanzania Tourism Promotion and Research Organization
Blog: www.ttpro2014.blogspot.com